Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 564 | Umetazamwa mara 2,878
Download NotaAUGUSTINE RUTAKOLEZIBWA
USHIRIMBO-2008
Nitakwenda kufanya kazi katika shamba lako X2
Nisaidie Bwana nifanye kazi yako, nisaidie Bwana katika shamba lako x2
1. Mavuno ni mengi wafanyakazi wachache, Bwana wa mavuno awaongeze watu.
2. Shamba lako Bwana sasa ni kubwa sana, niongeze nguvu nifanye kazi yako.
3. Nitangaze neno kwa mataifa yote watu wako Bwana wakufuate wewe.
4. Nipigane vita na yule mwovu shetani nikawarudishe kondoo wake Mungu