Ingia / Jisajili

Kazi Ya Mikono Yetu.

Mtunzi: Br Gosbert Anthony Kulangesiwa
> Mfahamu Zaidi Br Gosbert Anthony Kulangesiwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Br Gosbert Anthony Kulangesiwa

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Gosbert Kulangesiwa

Umepakuliwa mara 36 | Umetazamwa mara 67

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kazi ya Mikono yetu uithibitishe Ee Bwana ×2 1. Heri Kila mtu amchae Bwana aendae katika njia zake heri yao wamchao bwana watakuwa wenyeheri na baraka tele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa