Ingia / Jisajili

Kazi Ya Mikono Yetu Uithibitishe (Nakala Sahihi)

Mtunzi: Clement I. P. Msungu
> Tazama Nyimbo nyingine za Clement I. P. Msungu

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 961 | Umetazamwa mara 1,137

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kazi ya mikono yetu uithibitishe uithibitishe Ee Bwana X2

1. Twendeni madhabahuni kwa unyenyekevu tutoe shukrani zetu kwa Muumba wetu

2. Mazao ya mashamba tunaleta kwako ni kazi ya mikono yetu uithibitishe

3. Utukuzwe Ee Bwana Muumba mbingu na nchi kwa wako unaotujalia siku zote

4. Mkate divai tunaleta kwako ni kazi ya mikono yetu uithibitishe

5. Kazi ya mikono yetu tunakutolea ili iwe shukrani kwako Muumba wetu

6. Vitu vyote ni mali yako upokee upokee Baba ni mali yako

Maoni - Toa Maoni

Epima May 29, 2024
Wakuu naomba mkiupload wimbo mara ingne na wimbo huo upo hakikisha mnawasliana na mtunzi na pia uploader wa huo wimbo wa awali ili autoe sasa ukiwema nakala halisi kwenye jina la wimbo inavuruga, kwanini usiyoe wimbo wa zaman kama unamakosa ukaweka mpya uliosahihi? Mnaduplicate nyimbo mnajaza databsae bure alaf mnachanganya watumiaji hyo Nyimbo ya Kazi ya Mikono yetu ya Ckement I. P. msungu ashaweka Yudathaei Chitopela naye kaweka mbili sijuh sababu gan laki. Tulishaizoea hyo wewe Alex ukaweka ingne na ukaiacha iliyopo kwamba iendelee kutumika? Ukiwa na uhakika na uliyowekwa wasliana na wahusika ya awali ifutwe wakuu

Toa Maoni yako hapa