Mtunzi: Michael Mbughi
> Mfahamu Zaidi Michael Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mbughi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Majilio | Mazishi | Shukrani
Umepakiwa na: Michael Mbughi
Umepakuliwa mara 2,224 | Umetazamwa mara 7,130
Download Nota Download MidiChorus;
Kesheni kila wakati huku mkiomba kwa imani, wekeni nia zenu, ombeni kila wakati mpate yale mnayo yatamani x 2.
Stanzas;
1. Yaani, amini, nakuapia kwa jina lake, lolote uombalo, utapokea kwa kadiri ya rehema zake.
2. Kesheni, ombeni, Baba wa mbinguni aona sirini, imbeni kwa uchaji, mshukuruni kwa uzuri wa utakatifu.
3. Yaani, shikeni, sheria zake Mungu kwa imani, imani ionayo, utakatifu na ukuu wake Mungu wetu.
4. Imani, tulio, ipokea toka mwanzo wa dunia, tunayo tumaini, mwisho wa heri na Furaha huko juu mbinguni.