Ingia / Jisajili

KIKOMBE CHA BARAKA

Mtunzi: Thomasmaotsetung
> Mfahamu Zaidi Thomasmaotsetung
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomasmaotsetung

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Zaburi

Umepakiwa na: Thomasmaotsetung Mathias

Umepakuliwa mara 362 | Umetazamwa mara 1,935

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIKOMBE CHA BARAKA

  • Kikombe  (kikombe) cha barka tukibarikicho ni ushirika wa damu ya Kristo.
  • 1.     Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake wote?
  • Alionitendea, nitakipokea kikombe cha wokovu,
  • na kulitangaza jina la Bwana
  • 2.     Ina thamani machoni pa Bwana, mauti ya wachamungu wake
  • Ee Bwana hakika mimi ni mtumishi wako mwana wa mjakazi wako,

umevifungua vifungo vyangu

3.     Nitakutolea dhabihu ya kushukuru na kulitangaza,

Jina la Bwana, nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana,

naam, mbele ya watu wake wote.Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa