Ingia / Jisajili

Kikombe Kile Cha Baraka

Mtunzi: Regnald titus
> Mfahamu Zaidi Regnald titus
> Tazama Nyimbo nyingine za Regnald titus

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Matawi

Umepakiwa na: Regnald Titus

Umepakuliwa mara 32 | Umetazamwa mara 58

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya Matawi

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
kikombe kile cha baraka,tukibarikicho je! si ushirika wa damu ya kristo, je! si ushirika wa damu ya kristo? 1.Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake wote alonitendea alonitendea 2.nitakipokea kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana 3.Ee Bwana hakika mimi ni mtumishi wako mwana wa mjakazi wako umevifungua vifungo vyangu 4. nitakutolea dhabihu ya kushukuru na kulitangaza kulitangaza jina la Bwana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa