Mtunzi: A. Ntiruhungwa
> Tazama Nyimbo nyingine za A. Ntiruhungwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Juma Kuu
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 5,600 | Umetazamwa mara 10,205
Download Nota Download MidiKikombe Kile cha baraka, kikombe kile cha baraka tukibarikicho x2, Je!! si ushirika wa damu ya kristu, Je!! si ushirika wa damu ya kristu x2:
Mashairi:
1 (a) Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake wote alionitendea
1 (b) Nitakipokea kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana
2 (a) Ina thamani machoni machoni pa Bwana mauti ya wacha Mungu wake
2 (b) Ee Bwana hakika mimi ni mtumishi wako umevifungua vifungo vyangu
3 (a) Nitakutolea dhabihu za kushukuru na kulitangaza Jina la Bwana
3 (b) Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana naam mbele ya watu wake wote