Mtunzi: F. A. Mwingira (Fam)
> Tazama Nyimbo nyingine za F. A. Mwingira (Fam)
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Philemon Kajomola
Umepakuliwa mara 824 | Umetazamwa mara 2,676
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Alhamisi Kuu
Kikombe kile cha Baraka tukibarikicho je si ushirika wa damu ya Kristo? X2
1. Mkate ule tumegao je si ushirika wa mwili wa Kristo
2. Kwakuwa mkate ni mmoka na sisi wengi ni mwili mmoja
3. Kwakuwa sisi tunapokea sehemu ile ya mkate mmoja