Mtunzi: Jean-Benoît NYEMBO
> Mfahamu Zaidi Jean-Benoît NYEMBO
> Tazama Nyimbo nyingine za Jean-Benoît NYEMBO
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Zaburi
Umepakiwa na: Jean-Benoît Nyembo
Umepakuliwa mara 15 | Umetazamwa mara 15
Download Nota Download MidiRéf/ Kikombe ( kile ) kikombe kilicho barikiwa ni ushariki wa damu yake Kristu X2
1. Nimurudishie bwana Nini kwa yote aliyo nitendea
2. Nitainuwa kikombe cha wokovu nitaomba jina lake bwana
3. Kina bei kubwa machoni pa bwana kifo cha mtumishi wake