Ingia / Jisajili

Kila Mnapokula-Ii

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 383 | Umetazamwa mara 1,988

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kila mnapokula mkate huu  na kukinywa kikombe hiki mwatagaza kifo cha bwana mwatangaza  kifo bwana mpaka atakapokuja x 2

  1. Yesu alisema huu ni mwili wangu ulio kwa ajili yenu kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu (fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu) x 2
     
  2. Yesu alisema  aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu na uzima milele (nami nitamfufua, nami nitamfufua, nami nitamfufua siku ile ya mwisho) x 2 


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa