Mtunzi: Joseph Kulwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Kulwa
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Gustav Hofi
Umepakuliwa mara 1,247 | Umetazamwa mara 3,560
Download NotaKiitikio:
Kimya bara na bahari kimya mbingu na dunia (na dunia) Bwana na Muumba wetu asinzia (x2). Ah! a! a! a! mtoto asinzia, Ah! a! a! a! asinzia asinzia malaika wote malaika wote wanamtunzia.
Mashairi:
1. Malaika wake Mungu, nyimbo nzuri wanaimba, Yusufu na Mariamu wakimtunza.
2. Tumeona nyota ile, nyota ile Mashariki, tumekuja na zawadi kumsujudia.
3. Aleluya aleluya, Mfalme wetu kazaliwa, amani ya kweli imetushukia leo.