Ingia / Jisajili

Kinywa changu

Mtunzi: Alfonce W. Kapinga
> Mfahamu Zaidi Alfonce W. Kapinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfonce W. Kapinga

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: alfonce witgar

Umepakuliwa mara 201 | Umetazamwa mara 956

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Kinywa changu kitasimulia haki, (kinywa changu kitasimulia haki na wokovu wako)×2 Masairi: 1.Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike kwa haki yako uniponye uniopoe unitegee sikio lako uniokoe. 2.Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu nitakakokwenda siku zote umeamuru niokolewe ndiwe genge langu na ngome yangu Ee Mungu wangu uniopoe mkononi mwa mkorofi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa