Ingia / Jisajili

Kinywa Changu Kitasimulia

Mtunzi: Snob Mwinje
> Mfahamu Zaidi Snob Mwinje
> Tazama Nyimbo nyingine za Snob Mwinje

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Snob Mwinje

Umepakuliwa mara 11 | Umetazamwa mara 73

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Kinywa changu kitasimulia haki na wokovu wako x2. 1. Ninakukimbilia wewe Bwana, nisiaibike Milele, kwa haki yako uniponye, uniopoe, unitegee sikio lako uniokoe. 2. Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu, nitakakokwenda siku zote, umeamuru niokolewe, Mungu wangu ndiwe genge langu na ngome yangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa