Mtunzi: Samwel Kiliga
> Mfahamu Zaidi Samwel Kiliga
> Tazama Nyimbo nyingine za Samwel Kiliga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Ludovick Michael
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 6
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 Mwaka C
Kinywa changu kitasimulia haki na wokovu wako wokovu wako (wokovu) kinywa changu kitasimulia (haki) haki na wokovu wako.
1. Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike milele, kwa haki yako uniponye uniopoe, unitegee sikio lako uniopoe.
2. Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu, nitakapokwenda siku zote, umeamuru umeamuru niokolewe ndiwe genge langu na ngome yangu, Ee Mungu wangu uniopoe mkononi mwa mkorofi.