Mtunzi: V. Chigogolo
> Mfahamu Zaidi V. Chigogolo
> Tazama Nyimbo nyingine za V. Chigogolo
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Matawi
Umepakiwa na: Vitus Chigogolo
Umepakuliwa mara 1,840 | Umetazamwa mara 5,621
Download Nota Download MidiKristo alijinyenyekeza Kristo alijinyenyekeza akawa mtii akawa mtii, Naam hata mauti ya msalaba naam hata mauti ya msalaba x2
1. Kwahiyo tena Mungu alimwadhimisha mno akamkirimia jina jina lile lipitalo kila jina lipitalo kila jina