Mtunzi: Ivan Reginald Kahatano
> Tazama Nyimbo nyingine za Ivan Reginald Kahatano
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: ivan kahatano
Umepakuliwa mara 852 | Umetazamwa mara 2,797
Download NotaKIITIKIO: Hakuachwa kuzimu wala mwili wake haukuoza x2 Ni kweli Bwana Mungu amemfufua huyo Kristu Masiha kwani yeye ameyashinda mauti.
1. Ni kweli Bwana amefufuka tuimbe Aleluya, kwani ni mzima, ameyashinda mauti.
2. Malaika wake Mungu Baba akawapasha habari kuwa kafufuka amekwenda Galilaya.
3. Ni shangwe tufurahi mkombozi kafufuka, nasi tumepata wokovu.
4. Ni kweli kafufuka siku ya kwanza ya Juma, siku iliyo takatifu.