Ingia / Jisajili

Kristu Alijinyenyekeza

Mtunzi: Amos Renatus
> Mfahamu Zaidi Amos Renatus
> Tazama Nyimbo nyingine za Amos Renatus

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Matawi

Umepakiwa na: Amos Renatus

Umepakuliwa mara 170 | Umetazamwa mara 429

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kristu alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti naam, mauti ya msalaba. 1.Kwahiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia jina lile lipitalo kila jina. 2..Ninyi ninyi nyote mnao mcha Bwana, msifuni wote mliowazao wa Yakobo mtukuzeni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa