Ingia / Jisajili

Kristu Aliteswa

Mtunzi: Patrick Ingati
> Mfahamu Zaidi Patrick Ingati
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Ingati

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: patrick ingati

Umepakuliwa mara 140 | Umetazamwa mara 599

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KRISTU ALITESWA. Kristu, aliteswa, msalabani (ili) mimi na wewe tuokoke x2. 1. Kristu aliteswa, kwa ajili ya dhambi zetu, aliteswa, kwa ajili, ya dhambi zetu. 2. Kristu alipigwa, kwa ajili ya dhambi zetu, alipigwa, kwa ajili, ya dhambi zetu. 3. Kristu alilia, kwa ajili ya dhambi zetu, alilia, kwa ajili, ya dhambi zetu. 4. Kristu alimwaga, damu yake msalabani, alimwaga, kwa ajili, ya dhambi zetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa