Mtunzi: Andrew Sizimwe
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 1,014 | Umetazamwa mara 2,925
Download Nota Download MidiANDREW SIZIMWE
Kristu Mshinda Kristu Mfalme Kristu Mtawala, Aleluya, Aleluya, Aleluya, Aleluya
Msifuni Bwana enyi mataifa yote
Msifu Bwana enyi makabila yote
Kwana maana huruma yake daima kwetu na uaminifu wa Bwana ni wa milele
Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, kama mwanzo na sasa na siku zote na milele. Amina.