Ingia / Jisajili

Kristu Ni Mzima

Mtunzi: David Mwanthi
> Mfahamu Zaidi David Mwanthi

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: i-Spectacular Voices Kenya i-Svk

Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 32

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kristu ni Mzima 1.Yule waliyempiga mijeledi Kwa uchungu, huyo waliyemvika taji kubwa la miiba ndiye waliyemsulibisha Tena wakamuua hao wakadhani eti kwamba wameshinda ila sasa ni ya tatu siku. (Na) Refrain (Amefufuka kristo ni mzima (leo)Alleluia, Kaburi li wazi kweli ni mzima Alleluia)*2 2.{Asubuhi na mapema Mariamu na wenzake ,walikwenda kaburini wakalikuta liko wazi}*2 (kumbe Bwana mzima) 3.3. Malaika akasema hapa hayumo amefufuka, kristo kweli kafufuka katangulia Galilaya (Yesu Kristo Mzima) 4.Hii ndio siku aliyeifanya Bwana,tuishangilie na tukuifurahia,Mwanakondoo wa pasaka amechinjwa ,tumekombolewa(Amefufuka)

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa