Ingia / Jisajili

Kumbuka U Mavumbi

Mtunzi: Elia Temihanga Makendi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elia Temihanga Makendi

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: elia makendi

Umepakuliwa mara 517 | Umetazamwa mara 2,093

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mwanadamu kumbuka wewe u mavumbi (kumbuka) mwanadamu kumbuka wewe u mavumbix2 1.Na kama tu mavumbi yatupasa kutafakari maisha yetu na kujirekebisha sasa kwa kutubu dhambi. 2.Mavumbi tutarudi duniani twasafiri kwetu ni mbinguni tusali na kufanya toba ili tufike kwake. 3.Pale msalabani Kristo alipotundikwa mateso, uchungu vitufikishe mbinguni kwenye raha ya kweli.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa