Mtunzi: D. Chonya
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 351 | Umetazamwa mara 1,804
Download Nota Download Midi
D. CHONYA (DC) 1997
Kutaneni kusanyikeni kwa amani
Mukiimba na kulisifu jina langu,
Kutanikeni na wale nilio wateulia
(Kutana, kutanikeni na hao, hao wateule wangu)
Hapo walipo nami nimo katika maneno yao.
(Bwana asema muwapokeapo wao tayari nami nimo ndani yenu) x2
Kati yenu nimewachagua mitume wangu
Makuhani wa kuwakusanya kwa neno langu,
Kusanyikeni kwa neno langu mkae kwangu na mimi ndani yenu.