Mtunzi: Perfecto Mtuka
> Mfahamu Zaidi Perfecto Mtuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Perfecto Mtuka
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Perfecto Mtuka
Umepakuliwa mara 1,549 | Umetazamwa mara 5,895
Download Nota Download MidiHaya shime waamini wote,Tena kwa moyo mnyofu twendeni
Twendeni sote mbele za Bwana,Tukamtolee Mungu sadaka kwani
Kutoa ni moyo kunawapasa wanyofu wa Moyo x 2