Ingia / Jisajili

WAUFUMBUA MKONO

Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE

Umepakuliwa mara 558 | Umetazamwa mara 1,416

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                                                         WAUFUMBUA MKONO WANGU

Waufumbua mkono wangu, wa ufumbua mkono wangu mkono wangu ...x2

wakishibisha kila kilicho hai, kila kilicho hai matakwa yake ...x2

1. Ee Bwana kazi zako zote zitakushukuru, na wacha Mungu wako watakuhimidii.

2.Wataunena utukufu wau falme wako, na kuuadithia uwezo wako.

3.Na macho ya watu ya kuelekea wewe, nawe huwapa chakula kwa wakati wake.

4. Bwana yu na haki katika njia njia zake zote, na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa