Mtunzi: J. Nkonje
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Edga Madeje
Umepakuliwa mara 2,047 | Umetazamwa mara 4,937
Download Nota
Download Midi
Maneno ya wimbo
KWA AJILI YETU MTOTO AMEZALIWA – J. NKONJE
Kwa ajili yetu mtoto amezaliwa tufurahi, tumwimbie aleluya×2
(Tumepewa) mtoto, mtoto mwanamume mwenye uwezo wa kifalme mabegani mwake×2
1. a. Naye ataitwa jina lake mshauri wa ajabu twimbe alaleya,
b. Naye ataitwa jina lake ni Mungu mwenye nguvu twimbe aleluya
2. a. Naye ataitwa jina lake ni Mwanga wa milele twimbe aleluya,
b. Naye ataitwa jina lake ni mfalme wa amani twimbe aleluya