Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 10,690 | Umetazamwa mara 21,287
Download Nota Download MidiKwa Ishara ya Msalaba tuokoe x2
1. Na adui zetu Ee Bwana tuokoe sisi Bwana Mungu wetu
2. Mbona mataifa Ee Bwana wanafanya ghasia Mungu wetu
3. Pia makabila Ee Bwana wanao wanatafakari ubatiri
4. Wafalme nao wa dunia wanajipanga panga Mungu wetu
5. Wakuu wafanya ushari juu ya Bwana na Masihi wake
6. Tuvipasue vifungo vyao tuzitupe mbali nasi kamba zao
7. Yeye aketiye mbinguni anacheka na kuwadhi haki wote