Ingia / Jisajili

Kwa Jina La Baba

Mtunzi: B.M. Mako Junio

Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu

Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 9

Download Nota
Maneno ya wimbo

kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu x2

BETI

1. Baba ni muumba aliyetuumba

2. mwana ni mwokozi alitukomboa

3. roho ni mfariji wetu wanadamu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa