Ingia / Jisajili

Kwa Maana Wewe

Mtunzi: Adolf A. Katambi
> Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Adolf A. Katambi

Umepakuliwa mara 31 | Umetazamwa mara 55

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 16 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Kwa maana wewe Bwana u mwema Umekuwa tayari tayari kusamehe. X2 Na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakuitao Bwana uyasikie maombi yangu na sauti ya dua zangu. x2 MASHAIRI. 1. Mataifa yote uliowafanya watakuja watakusujudia wewe Bwana watalitukuza jina lako kwani ndiwe mkuu mfanya miujiza ndiwe Mungu peke yako. 2. Lakini wewe Bwana U Mungu U Mungu wa rehema na neema mvumilivu mwingi wa fadhili na kweli unielekee na kunifadhili mimi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa