Maneno ya wimbo
1.Nyumbani mwake Bwana nani ataingia Bwana yumo mlangoni atungoja tuingie twendeni wote kwake tumtolee ibada kweli
kwa nini nisiende, kwa nini nisiende,
niingie nyumbani mwake
kwa nini nisiende, kwa nini nisiende,
nishiriki karamuye
kwa nini nisiende, kwa nini nisiende,
nimshukuru mungu wangu
2.kina baba tuingie kina mama tuingie, tukamwimbie Bwana nyimbo nzuri za furaha, twendeni wote kwake tumtolee ibada kweli
3.Vijana tuingie na watoto tuingie, twendeni ...
4.Makasisi tuingie na watawa tuingie, ...
5.Tupige vigelegele kayamba ngoma tucheze kuruka pia turuke shingo na zinesenese,...
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu