Mtunzi: Shotta Nkwera
> Mfahamu Zaidi Shotta Nkwera
> Tazama Nyimbo nyingine za Shotta Nkwera
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: nkwera shotta
Umepakuliwa mara 339 | Umetazamwa mara 1,578
Download Notakwa ukarimu nitende mema, dhambi mauti viniondokee
nipe nguvu nishinde jaribu nao uovu usinipate
kwa ukarimu nitende mema ya pasayo
shairi
nipe nguvu niyashinde majaribu, nioneshenjia ile ya uzima
nijaze rehema zako ee mungu nioneshe mapito yanayofaa
nijalie maamuzi ya busara na hekima kwa matendo nitendayo