Ingia / Jisajili

Kwaheri M(Wa)Pendwa

Mtunzi: Frt Joshua Mkuni
> Mfahamu Zaidi Frt Joshua Mkuni
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt Joshua Mkuni

Makundi Nyimbo: Mazishi

Umepakiwa na: Joshua Mkuni

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Utangulizi 

Kwaheri m(wa)pendwa wetu tutaku(wa)kumbuka sama mwendo u(mu)meumaliza

Kiitikio

Mungu mwenyezi uliye toa (sasa umetwaa) um(wa) pokee kwwnye makao ya Mbinguni

Mashairi

1.Ndugu wanalia jamaa pia, hakika pengo la(le)ko(nu) halita zibika

2. Mwanga wa milele umu(wa)angazie a(wa)pumzike kwa amani

Hitimisho

Kwaherix2 Mungu akipenda tutaonana tena


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa