Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Mazishi
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 1,955 | Umetazamwa mara 5,155
Download Nota Download MidiAUGUSTINE RUTTA 2010.
DSM.
1. Kwaherinii ndugu zangu mimi nakwenda nyumbani, nyumbani kwenye makao ya milele (milele) nikapumzike
2. Majonzi na mahangaiko leo sasa vimekwisha(kuisha), Nimekwenda kwa Baba yangu ( Alto & Bass: baba baba yangu) u u paradizooni
3. Tutaonana m-binguni kwa kuwa kuna makao (makao), Nitawaombea Mungu (Alto & Bass: Mungu Mungu) nanyi mkafike
4. Niliwapenda sana ndugu lakini Mungu kapenda(kapenda), niombeeni kwake Mungu wetu(Alto & Bass: Mungu Mungu ) raha ya milele
5. Kesheni kila wakati kwan hamjui wakati (wakati) atakapokuja Yesu (Alto & Bass: Yesu Yesu kuwa) kuwahukumu watu