Mtunzi: A. Ntiruhungwa
> Tazama Nyimbo nyingine za A. Ntiruhungwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,813 | Umetazamwa mara 4,754
Download Nota Download MidiKaribu kwaresma kipindi cha kufunga na kusali na kuomba toba x 2:
Mashairi;
1. Tubuni na kuiamini Injili kwani tuwadhambi naye Bwana atatusamehe.
2. Tumrudie Bwana Mungu wetu tufunge tusali tuirarue mioyo yetu.
3. Mungu wetu ni mwenye huruma nyingi yeye si mwepesi wa hasira.
4. Bwana amejaa huruma na neema tumgeukie naye Bwana atatusamehe.