Mtunzi: EVARIST CHUWA
> Mfahamu Zaidi EVARIST CHUWA
> Tazama Nyimbo nyingine za EVARIST CHUWA
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Evarist Chuwa
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 5
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka C
Lakini Hata Sasa asema bwana, nirudieni Mimi Kwa mioyo yenu yote, Kwa maana ni Mwenye rehema na huruma