Mtunzi: A.Family
> Mfahamu Zaidi A.Family
> Tazama Nyimbo nyingine za A.Family
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Aloyce Family
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiLakini sisi yatupasa kuona fahari, juu ya msalaba wa Bwana wetu yesu kristo ambaye ndani yake mnawokovu uzima na ufufuko wetu.×2
1..Nasi tumepata kuokolewa kuokewa, na kukombolewa kukombolewa naye.