Mtunzi: Credo Mbogoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Credo Mbogoye
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Noeli | Shukrani
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 28,586 | Umetazamwa mara 38,019
Download Nota Download MidiLala Kitoto cha Mbingu, Lala Kitoto cha Mbingu x 2. Sinzia Kitoto sinzia Malaika wa Mungu watakutunzia ( Watakutunzia ) x 2.
Mashairi:
1. Lala Kitoto cha Mbingu sinzia Kitoto cha Mbingu, Lala Mwana wa Mungu
2. Maria naye Yosephu wanamtunza mtoto, Lala Mwana wa Mungu
3. Lala kitoto cha Mbingu uliye Mkombozi wetu, Lala Mwana wa Mungu
4. Lala kitoto cha Mbingu Masiha Mwokozi wetu, Lala Mwana wa Mungu