Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 764 | Umetazamwa mara 2,479
Download Nota Download MidiLALA SINZIA
Leo kazaliwa Mtoto Yesu pangoni sote hima na wachnga twende tumwone mtoto ..x2
Lala sinzia lala kitoto cha mbingu mkombozi wetu sinzia Mwana wa Mungu ...x2