Ingia / Jisajili

LEO AMEZALIWA

Mtunzi: Sekwao Lrn
> Mfahamu Zaidi Sekwao Lrn
> Tazama Nyimbo nyingine za Sekwao Lrn

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Gasper Method Tungaraza

Umepakuliwa mara 712 | Umetazamwa mara 2,193

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

LEO AMEZALIWA

(Leo amezaliwa (Bwana) kwa ajili yetu (mwokozi) ndiye (yeye ndiye) Kristo Bwana.)X2

Mashairi.

1. Mwimbieni Bwana, mwimbieni wimbo mpya,tangazeni wote wokovu wake siku kwa siku.

2. Heshima na adhama, ziko mbele zake Bwana na ufalmeu mabegani mwake mabegani mwake.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa