Ingia / Jisajili

LEO AMEZALIWA KWA AJILI YETU Zaburi 96

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi | Noeli

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 748 | Umetazamwa mara 1,989

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Leo amezaliwa kwa ajili yetu, leo amezaliwa kwa ajili yetu, ndiye kristo, ndiye kristo, ndiye kristo kristo Bwana. 1.Mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni Bwana nchi yote, mwimbieni Bwana libarikini jina lake. 2. Tangazeni wokovu wake siku kwa siku, wahubiri mataifa habari za utukufu wake, na watu wote habari za maajabu yake. 3.Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie, bahari na ivume na vyote viijazavyo, mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo. ndipo miti yote ya mwituni iimbe kwa furaha. 4.Mbele za Bwana kwa maana anakuja, kwa maana anakuja aihukumu nchi, atahukumu ulimwengu kwa haki, na mataifa kwa uaminifu wake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa