Ingia / Jisajili

Leo Amezaliwa

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 17,373 | Umetazamwa mara 27,703

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Leo amezaliwa kwa ajili yetu mwokozi ndiye Kristu, Kristu Bwana x 2

  1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni Bwana libarikini jina lake.
     
  2. Tangazeni wokovu siku zote, wahubirini mataifa utukufu wake. 

Maoni - Toa Maoni

Arthur Dec 21, 2017
Uwe mstaarabu

Toa Maoni yako hapa