Mtunzi: Joseph Mgallah
> Mfahamu Zaidi Joseph Mgallah
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Mgallah
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Joseph Mgallah
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Kuzaliwa kwa Bwana (Mkesha)
Leo ndipo mtakapojua ya kuwa Bwana atakuja naye atatuokoa x2, (na asubuhi ndipo mtakapouona) utukufu wake. X2
1. Safisheni nyoyo zenu Bwana atakuja kutuokoa.