Mtunzi: Rev. Fr. C. Kaswiza
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Wasonga David
Umepakuliwa mara 677 | Umetazamwa mara 2,212
Download Nota Download Midi1. Kwanini leo mnaimba nyimbo nzuri namna hii? Lol! nani we hata 'sijue siku tamu nzuri namna hii? Shangilia kwanza utajua yote, ngojea mgeni mwenzangu,
\\Leo siku nzuri, leo ni sikukuu, ndiyo siku njema yafaa sana mjiunge nasi, tumtolee zetu sala na shukrani na matashi mema, tumtolee zetu sala na pole ya sikukuu//
2.Jongeeni wote mtakao kujulia hilo swali, si gumu tega sikio utajua, fumba macho yako kaa tu,leo kweli jama siku yetu nzuri jongea mgeni mwenzangu.
\\Leo siku nzuri, leo ni sikukuuu, ndiyo siku njema yafaa sana mjiunge nasi tumtolee zetu sala na shukrani na matashi mema, tumtolee zetu sala na pole ya sikukuu//