Ingia / Jisajili

Leo Ninairudisha Talanta

Mtunzi: Modest Tindegizile
> Mfahamu Zaidi Modest Tindegizile
> Tazama Nyimbo nyingine za Modest Tindegizile

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo | Shukrani

Umepakiwa na: Modest Tindegizile

Umepakuliwa mara 176 | Umetazamwa mara 669

Download Nota
Maneno ya wimbo
LEO NINAIRUDISHA TALANTA Kiitikio: Leo ninairudisha talanta kwa Bwana x2 Kama wale watu wawili walivyorudisha, nami leo ninaleta talantaƗ2 1.Napeleka talanta (Ee nyi ndugu) napeleka kwa Bwana, kama wale wawili walivyorudisha. 2.Pelekeni talanta (Ee nyi ndugu) wala usisite kumshukuru Mungu aliyetuumba. 3.Bwana kaniumba (Ee nyi ndugu) kwamfano wake, na kwasura yake ,vema nimshuru. 4.Mali niliyo nayo ( Ee nyi ndugu) afraid niliyo nayo, ndiye kanijalia, hima nimshukuru. 5.Kwa upendo wake (Enyi ndugu) kanivusha wiki, nikiwa salama, sasa namshukuru.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa