Mtunzi: Fr. Gregory F. Kayeta
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Gregory F. Kayeta
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alfred Marikani
Umepakuliwa mara 4,698 | Umetazamwa mara 10,333
Download Nota Download MidiLITUKUZENI JINA LA MUNGU
Litukuzeni jina la Mungu daima na milele enyi mataifa mshangilieni Mungu wetu kwa kuwa Bwana ni mtukufu wa kutisha yeye ni Mfalme wa dunia yote msifuni Bwana kwa shangwe.