Ingia / Jisajili

Macho Yangu

Mtunzi: Desderius Ladislaus
> Mfahamu Zaidi Desderius Ladislaus
> Tazama Nyimbo nyingine za Desderius Ladislaus

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo

Umepakiwa na: Desderius Ladislaus

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MACHO YANGU

Macho yangu humwelekea Bwana daima x2, naye akanitoa miguu yangu katika wavu x2

1. Uniangalie na kunifadhili maana mimi ni mkiwa na mteswa

2. Utazame Bwana mateso yangu na taabu zangu nisamehe dhambi zangu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa