Ingia / Jisajili

Macho yangu humwelekea Bwana

Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Derick Nducha

Umepakuliwa mara 14 | Umetazamwa mara 65

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka C
- Katikati Dominika ya 14 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Macho yangu humwelekea Bwana daima naye atanitoa miguu yangu katika wavu.×2

1.Uniangalie nakunifadhili maana Mimi ni mkiwa na mteswa.

2.Katika shida za Moyo wangu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa