Ingia / Jisajili

Macho Yetu Humwelekea Bwana

Mtunzi: Deogratias R. Kidaha
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias R. Kidaha

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 3,686 | Umetazamwa mara 7,937

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Macho yetu humwelekea Bwana Mungu wetu x 2
Hata atakapoturehemu x 2
Macho yetu humwelekea Bwana Mungu wetu

  1. Nimekuinulia macho yangu, wewe uketiye mbinguni, kama vile macho yawatumishi, kwa mkono wa Bwana zao.
     
  2. Kama macho ya mjakazi, kwa mkono wa bibi yake hivyo macho yetu humwelekea Bwana Mungu wetu, hata atakapoturehemu.
     
  3. Uturehemu Ee Bwana uturehemu sisi, kwa maana tumeshiba dharau, nafsi zetu zimeshiba mzaha wa wenye raha, na dharau ya wenye kiburi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa