Ingia / Jisajili  Changia

Maisha Niishiyo Yamchukiza Mungu

Mtunzi: Wilfred Mkungilwa
> Mfahamu Zaidi Wilfred Mkungilwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilfred Mkungilwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Wilfred Mkungilwa

Umepakuliwa mara 23 | Umetazamwa mara 67

Download Nota (TZS 20) Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Maisha niishiyo yamchukiza Mungu machoni mtumishi safi sirini n kinyume.(Faida gani nimeshaipata kupendeza dunia na vilivyomo×2) Kibwagizo Jambo moja kubwa ninalolijua ninamkabidhi Mungu Moyo wangu ninaacha yote nimtumikie*2 2.Naamua mwenyewe kuweka msimamo naachana na vuguvugu mara baridi moto(ushuhuda wangu uwe n mwanga kuwavuta kwa Mungu wapendwa wake×2) 3.Usafi wa mioyo pamoja na matendo n ushuhuda timilifu wengi huokolewa(Utalipwa sawa kwa uishivyo siku ile ya mwisho ya ufufuo×2)

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa