Mtunzi: Ayub J. Myonga
> Mfahamu Zaidi Ayub J. Myonga
> Tazama Nyimbo nyingine za Ayub J. Myonga
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Ruzo Willa
Umepakuliwa mara 6,690 | Umetazamwa mara 9,710
Download NotaMalaika wa bwana uje uchukue sadaka, uipeleke mbele ya uso wa Mungu.
1. Ee bwana uipokee sadaka yetu, iwe safi kama ile ya Abeli ikupendeze uitakase
2. Itufae kwaajili ya wokovu wetu ,, ,, ,, ,, ,, ,,
3. Ee bwana uyabariki maisha yetu, kwa sadaka tukutoleayo utupe wokovu, wokovu wakp