Ingia / Jisajili

Malaika Mtakatifu.

Mtunzi: Paulo Evance Manyika
> Mfahamu Zaidi Paulo Evance Manyika
> Tazama Nyimbo nyingine za Paulo Evance Manyika

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Paulo Evance Manyika

Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Malaika mtakatifu amesimama random ya altare×2

Akiwa ameshika (mkononi) Chetezo cha dhahabu akiwa ameshika (mkononi) Chetezo cha dha habu

Mabeti

1. Ututakase Ee Bwana utukase ee Bwana Ututakase Bwana kwa moshi wa ubani.

2. Sadaka yetu ifike mbele ya uso wake mbele ya uso wako bwana muumba wetu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa